Heshima mbele GT's!
Kuna jamaa yangu kapata admission offer kusoma PhD in Education huko Bondeni kwa Late Madiba - UWC. Bahati mbaya chuo hiki hawana Scholarship kwa International Students. Sasa anauliza je wapi anaweza kupata huo msaada? Kwa yeyote mwenye uzoefu tafadhali naomba taarifa ili aweze kutuma application kabla muda haujaenda sana. Admission offer inamruhusu kuanza kipindi chochote kati ya January mpaka July 2014.