NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
Ni scholarship ya South Korea, kwa wanaohitaji Masters au PhD, ni Government Scholarship maan yake serikali ya South Korea italipia kila kitu. Swala uwe unamalizia au umemaliza Undergraduate kwa wanaotaka Masters au Masters kwa wale wa PhD, Pia uwe na vyeti vilivyosimama First class GPA ana chance kubwa maana wanahitajika watanzania WAWILI TU, Natoa bure kukuelekeza kila kitu kama nilivopita mimi mwaka jana angalau watanzania tupeane company huku South Korea. Interested niPM, vyuo vipo vikali tu na vingine vinarank Top 50 worldwide, huamini Google Seoul National University.