Scholarship petroleum engineering -udom

WaituWaitu

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
41
Reaction score
1
Kama mnakumbuka kuwa wizara ya nishati na madini ilitoa udhamini wa elimu kwa wanafunzi 10 watakaosoma petroleum engineering UDOM lakini hadi hivi sasa sijasikia tetesi kuhusu waliofanikiwa kupata huo udhamini naomba anayefahamu au mwenye tetesi anijuze kupitia hili jamvi
 

vuta subra kjana!!wizara ya nishati na madini watakaa na udom kuchagua hao wa2 10 mwez october!!so nahc mpaka twnd chuo ndo majina yatatolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…