P psy Member Joined Oct 13, 2013 Posts 40 Reaction score 4 Feb 27, 2014 #1 Wadau mwenye taarifa za kina kuhusu scholarship za china zinazotolewa na hii wizara anifahamishe kama tayar zishatolewa..asanten
Wadau mwenye taarifa za kina kuhusu scholarship za china zinazotolewa na hii wizara anifahamishe kama tayar zishatolewa..asanten
Kipilipili JF-Expert Member Joined May 25, 2010 Posts 2,272 Reaction score 1,897 Feb 27, 2014 #2 zinatolewa na wizara ya elimu na sio ya sayansi. tembelea United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training wameweka matangazo zipo za Pakistani, Italia na China. Kazi kwako, kamata fursa...
zinatolewa na wizara ya elimu na sio ya sayansi. tembelea United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training wameweka matangazo zipo za Pakistani, Italia na China. Kazi kwako, kamata fursa...