Scholarship za kusoma nje

nzedanze

Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
44
Reaction score
1
Jamani wadau naomba anaye fahamu website zinazojihusisha na utoaje wa scholarship za kusoma masters nje anianikie hapa jamvini.......!
 
cheki advance-africa.com, hii ina scholarship info kwajili ya waafrika...fungua afu subscribe..utakua unapata scholarship information wakati wote zinapojitokeza.
 
Pia jaribu kuwa mtundu ku'search google zpo nyingi sana.
 
Jamani wadau naomba anaye fahamu website zinazojihusisha na utoaje wa scholarship za kusoma masters nje anianikie hapa jamvini.......!
ucpate tabu ndugu yangu,we GOOGLE TU....
 
si ukasome Open University. Mastaz zipo pia. Au Muslim University Morogoro.
 
Hapa hapa bwana uende nje wakuzingue na scholarship zao uanze kuwa ombaomba kama jamaa zetu wa Moscow
 
kwa nin umemdirect huko?

Hata ningem'direct Msumbiji pia ungeuliza. Open kwa sababu ni nje ya wilaya yake, na Muslim Morogoro kwa sababu ni nje ya mkoa wake. Unless afunguke na kusema ni nje ipi anamaanisha yeye.
 
Jamani wadau naomba anaye fahamu website zinazojihusisha na utoaje wa scholarship za kusoma masters nje anianikie hapa jamvini.......!
Google.
Sio lazima kutafuta scholarships za nje ya bongo, unaweza pia ukacheki za hapo hapo bongo pia kama ujuavyo kuna universities za kumwaga kila kona ya Tanzania, unless unataka kuongeza schedule ya kupiga box.
 
Hata ningem'direct Msumbiji pia ungeuliza. Open kwa sababu ni nje ya wilaya yake, na Muslim Morogoro kwa sababu ni nje ya mkoa wake. Unless afunguke na kusema ni nje ipi anamaanisha yeye.

Unajua muuliza swali anaishi wapi? Ni vyema kumsaidia kwa kutumia common sense...kama ameulizia scholarship za kusoma nje, ni dhahiri alimaanisha nje ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…