Scholarship za kwenda kusoma Uchina

Ndugu, kama huamini Embassy ya Peoples Republic of China in Tanzania, sikushauri uende huko. kwani level yako ya imani kwa hilo taifa iko chini sana.

Tafuta nchi nyengine utakayokuwa nayo comfortable.

Au chukua mud akujifunza nini maana ya Embassy. Ukielewa hiyo labda itakusaidia kwenye kuchagua kipi cha kuamini.
 
Umeingia site yenyewe ukaona ninayoyaulizia au umejibu tu kwa kutazama link!!? Inavyoonyesha sio site ya ubalozi na ingekuwa vizuri kama utajibu ukiwa unajua unajibu nini
 
Mkuu kuhusu scholarship za china kuna nyuzi kibao humu hebu search utapata na utaelewa kinaganaga na uvulivuli utakutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…