Wakuu habari? Naombeni niwasilishe swali kwa niaba ya wengi. Nauliza mwenye any updates za postgraduate scholarship nchi yoyote. 7bu wengi tunapenda kuendelea na masomo baada ya hii shaada ya kwanza sema financially hatupo safi. Kwa mimi ndio nipo mwaka wa mwisho bsc applied geology, udom.
Kaka nimetry naona blogs mbalimbali, ila wanakuzungusha tu hawakupi link ya kueleweka. Kwa fano kuna mshikaji amepost link za kufollow, ndio kama ameniongezea uzito wa tatizo. Nilikua naomba alie na link ya kuaminika