carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
For those who still aspire for scholarships in top businesses schools in the world..pls dont miss this chance. check the link and go for it. http://emmanuel.tv/mba.html Hii ni fursa ya ukweli kwa wale wanaoangalia Emmanuel tv mtakuwa mnajua kuwa T.B Joshua kaanzisha project ya kusaidia vijana kupata kazi..katika hilo hawa jamaa wamejitokeza na kuandaa hiyo program itayosaidia vijana wengi wa Afrika kwenda kusoma nje na kurudi kuwasaidia wenzao hasa kufundisha vyuoni Africa ili kuandaa kizazi cha mafanikio. So Muombe na kama mnavyoona kwa Africa mashariki watakuwa Kenya tarehe 10th Oct kufanya usahili wa watakaopewa scholarship. Ni lazima ujiandikishe online upate invitation ya ku attend... hakuna walk ins. Nawasihi tuombe tusijebaki kulalamika ooh wakenya wanatushinda kila kitu. God bless you all.