Dah, mzee una hatari..Yaani umewapa USD 45 kwa minajili ipi?
eti wanadai ni za postage,handling,adminstration and file evaluation.
Pole sana nadhani utakuwa mwalimu mzuri kwa wenzako!
jamani nyie kina mtindio wa ubongo na masamilo,badala ya kumsaidia mwenzenu nyie mnamkatisha tamaa.
kwanza hamjamjibu suali lake.ameuliza je hawa watu ni trustful au vipi, nyie mnamwambia ameliwa maana yake ni nini.
mlichotakiwa nikupitia hiyo link na kupata taarifa zilizomo ili mjue kwa nini ametuma hizo dolla 45 huko.
inawezekana kabisa ni kwa ajili ya application alizopeleka.mbona hata hapa nchini ukipeleka application forms unatozwa na kisindikizio chake.
Kwa anayejua,hawa jamaa ni wa kweli au ni wale scholarships scamers?....Nisaidieni ku confirm maana nimeapply kwa US$45 nataka nikatake Architecture Cartography.Kama nimeliwa nianze upya na mnipe link zingine.
Bofya hapa: Assistance Étudiants Étrangers - Scholarships for foreign students- Bourses pour étudiants étragers
Hakuna hata siku moja ukaomba scholarship alafu ukaombwa application fee. Au hao jamaa ni ma-broker tu wanakula pesa yako alafu ndio wanakupa link ya kuomba scholarship kama hii Grantfinder
ofcourse yes,ni brokers.Ukisoma web yao wanasema after sending the $45,they'll send to you a list of colleges,universities consisting itinerary etc.