Scholarships: Mcgill university/ mastercard foundation for africa

Scholarships: Mcgill university/ mastercard foundation for africa

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2010
Posts
1,484
Reaction score
372


Wakuu, Assalam Aleiykum kwa mpigo.

Napenda kuchukua wasaa huu kuwakumbusha na kuwaomba msambaze taarifa za hii program ya The Mastercard Foundation for Africa, ambayo inatoa Scholarship kwa wanafunzi mahiri kutoka Sab Saharan Afrika. Kama tunavyofahamu, matokeo ya Form VI ndio yametoka. Hivyo basi, kama kuna kijana ambae unamfahamu, na ambae amepata Division 1, na anapenda kujitolea kwenye shughuli za jamii (Volunter), naomba umshauri afanye maombi kwenye hii program.
Mwanafunzi atakaebahatika, atalipiwa ada ya shule na matumizi ya kawaida kwa muda wa miaka 4, au mpaka atakapomaliza program yake.

Ingawa hii program ni kwa ajili ya Afrika, kusini mwa janga la Sahara, lakini nashangaa wengi wa wanafunzi wanaokuja McGill University wanatoka Kenya na Rwanda. Mwaka jana (2013), ni msichana moja kutoka Tanzania ndie aliyefanyikiwa kujipenyeza kulinganisha na Wakenya 7 na Wanyarwanda 3. Mwaka huu, hakuna Mtanzania hata moja. Kenya wamefanyikisha wanafunzi 6, Uganda 2, na Rwanda 2.

Naombeni msaada wa kusambaza hizi taarifa kwa hawa vijana wetu ili wajaribu bahati yao.

NB: The MasterCard Foundation for Africa Program ipo kwenye vyuo Zaidi ya 15 Duniani. Kwa hiyo sio lazima mwanafunzi apply McGill University.


About the Program
The MasterCard Foundation Scholars Program provides academically talented yet economically disadvantaged young people from Africa with access to quality university education. McGill is proud to be among the select group of global MasterCard Foundation Scholars Program partners selected based on academic excellence, nurturing environments, and programs relevant to growth sectors in Africa.

The MasterCard Foundation Scholars Program at McGill will welcome 13 students from Africa in its inaugural year in 2013-2014. Over the next ten years, McGill will welcome 67 MasterCard Foundation Scholars at the undergraduate level and another 24 at the Master's level, for a total of 91. Unique to McGill, some of the Scholars will be from French-speaking and Portuguese-speaking countries and as such, will benefit from enhanced English as a Second Language instruction.


The MasterCard Foundation Scholars at McGill will receive a holistic set of financial, social, and academic supports throughout their education and during their post-graduate transitions coordinated through the Office of the Dean of Students with the support from the Office of the Deputy-Provost (Student Life and Learning). Professor Lauren Chapman will serve as the lead mentor, and together with the Office of the Dean of Students, will assemble a mentoring team composed of McGill Faculty members and peer advisors who have valuable knowledge and experience at McGill and in Africa to share with the Scholars.

The MasterCard Foundation Scholars Program at McGill will leverage the comprehensive network of student support services already in place and will develop customized initiatives to further ensure that The MasterCard Foundation Scholars are fully supported and given every opportunity to succeed in a welcoming environment. This will not only benefit the Scholars, but their home communities as well because Scholars will be selected based in part on their motivation to give back/go back to Africa both while studying at McGill and at the completion of their degree.

As Canada's leading research-intensive University with more than 37,500 students from 150 countries in a bilingual, cosmopolitan city, McGill is an ideal partner of The MasterCard Foundation Scholars Program.

SOURCE: About the Program | The MasterCard Foundation Scholars Program at McGill - McGill University
 
Last edited by a moderator:
Everything You Need to Know Before Applying

Eligibility Criteria for The MasterCard Foundation Scholars Program



  • You must qualify academically for admission to McGill University. Please note that admission is competitive; see Admissions Guide 2014-2015.
  • You must be a first-time applicant to university (transfer applicants are not eligible).
  • You must be a resident and citizen of a Sub-Saharan African country. French-speaking applicants are welcome.
  • You must have an exceptional record of service and activity in your school and/or community.
  • You must have the potential for meaningful future service to your community as a leader engaged in dynamic local and global social change.
  • Your financial status must be in the lowest two quintiles of your country.
In addition, please note that The MasterCard Foundation Scholars Program at McGill is only available for undergraduate programs. Scholarships will be available at the Masters level beginning in the 2015-2016 academic year. Please check back in September 2014 for details on how to apply.

Acceptance to The MasterCard Foundation Scholars Program
•You must demonstrate an exceptional record of service and leadership in your school and/or your community. This may include organizing youth programs, assuming leadership roles in school activities, participating in clubs and teams, taking on responsibilities at home, advocacy and/or volunteering in your community.
•You must be committed to returning to Africa after graduation to continue to give back to your community and country.
•You must be from a low-income background. Your financial status will be verified.
 
General Admission and Documentation Requirements for All Applicants | Applying to Undergraduate Studies - McGill University

Undergraduate Admission Guide 2014-15 | Applying to Undergraduate Studies - McGill University

Wakuu nawaombeni kama unamfahamu kijana yoyote aliyemaliza form 6, na amepata division 1, basi mshauri ajaribu bahati yake hapa. Yaani ni bure kuanzia application mpaka atakapomaliza masomo yake. Ingawa nafasi zipo very limited, lakini bila kujaribu itakuwa vigumu kujuwa kama una bahati.
 



Hi Guys,


Last week nilibahatika kutembeleathe City of Montreal, Quebec- Canada. It was fun! Lakini kuna baridi siomchezo. Hiyo siku yenyewe nilipofika, hali ya hewa ilikuwa -21 derees celcius.Sio mchezo. Ni mji wa maraha, we achaaaa! Vimwali wa ki bonjour kedede. Lakinikilichonifurhisha ni pale nilipotembelea McGill Universiy.
Ni moja kati ya 3 EnglishUniversities zilizopo hapa Montreal. McGill ni Ivy League University.

- As ofthe 2013-2014 school year, McGill was ranked 1st in Canada among all itsmajor/research universities in Canada.
- Internationally,McGill ranked 21st in the world and 2nd in Canada in the 2013 QS World University Rankings.[SUP][[/SUP]

- Bloomberg BusinessWeek's 2012 BusinessSchools Ranking ranked McGill's Desautels Faculty of Management 10th in theworld among non-US business schools, referring to McGill University as"the #1 university in Canada and among the top 20 worldwide.
- McGill'sstudent population includes 25,938 undergraduateand 8,881 graduate students representing diverse geographicand linguistic backgrounds. Of the entire student population, 54.7% are fromQuebec and 25.4% are from the rest of Canada, while 20.0% are from outside ofCanada (including the United States). International students hail from about150 different countries,with Americans comprising about half of allinternational undergraduates and a third of all international postgraduates inthe entering class of 2010
- Admissions:

For Fall 2012, McGill accepted 14,220(45.8%) of 31,049 undergraduate applicants, and 3,618 (32.1%) of 11,266graduate applicants; about 6,000 undergraduates and 2,000 graduates matriculateeach year.
For law students, the median undergraduate GPA was85% (or 3.7 on a 4.0 scale) and the median LSAT score was 163 (88.1thpercentile) out of a possible 180 points. For medical students, the median undergraduate GPA was 3.8 out of 4.0 and themedian MCAT score was 32.1.NB: NIMETEMBELEA INTERNTIONAL STUDENTS OFFICE NA KUONGEA NA MOJA WA ADMINISTRATIVE ASSISTANT. ALINIFAHIMISHA KWAMBA, KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI, KUNA WATANZANIA 4, WAKENYA 30, NA WAGANDA 3. SIJUI KWA NINI WABONGO HAWAPATIKANI KWA WINGI KWENYE HIZI IVY LEAGUE UNIVERSITIES.
 
Masomo yanaanza rasmi lini?

Jawalat. Angalia kwenye link nilizounganisha hapo juu. Lakini kwa kifupi ni kwamba sasa hivi wanamalizia admissions za Fall semester 2014. Kwa hiyo ni vizuri kutarget 2014/15. Tafadhali kama kuna mwanafunzi unaemfahamu usisite kumtonya. Lakini lazima awe mwanafunzi hodari. The average GPA ni 3.5, especially engineering, medical na Law.
 
Na kama ni undergraduate wanachukua kwa mwenye kiwango gani?
Jawalat. Angalia kwenye link nilizounganisha hapo juu. Lakini kwa kifupi ni kwamba sasa hivi wanamalizia admissions za Fall semester 2014. Kwa hiyo ni vizuri kutarget 2014/15. Tafadhali kama kuna mwanafunzi unaemfahamu usisite kumtonya. Lakini lazima awe mwanafunzi hodari. The average GPA ni 3.5, especially engineering, medical na Law.
 
mi huwa nakereka na TOELF na referees recom. letters. Hapo tu ndo nagiuje up. Not that i dn't knw English, I find the procedures somewhat too cumbersome.
 
mi huwa nakereka na TOELF na referees recom. letters. Hapo tu ndo nagiuje up. Not that i dn't knw English, I find the procedures somewhat too cumbersome.

Joe, hili ni tatizo dogo sana endapo Una sifa zinazihitajika. Just imagine, an ivy league university, hauombwi Hata senti 5 ya mkoloni kuanzia kwenye application mpaka graduation. Muhimu kwao ni kwamba lazima urudi kwenu kusaidia jamii yako. Sidhani kama that is too much to ask!
 
Joe, hili ni tatizo dogo sana endapo Una sifa zinazihitajika. Just imagine, an ivy league university, hauombwi Hata senti 5 ya mkoloni kuanzia kwenye application mpaka graduation. Muhimu kwao ni kwamba lazima urudi kwenu kusaidia jamii yako. Sidhani kama that is too much to ask!

Please be advised that there are two more Canadian universities participating in this program:

University of British Columbia:
The University of British Columbia (UBC) is one of North America's largest public research and teaching institutions, and one of only two Canadian institutions consistently ranked among the world's 40 best universities. The University of British Columbia

University of Toronto:

The University of Toronto is a vibrant and diverse academic community. It includes 80,000 students, 12,000 colleagues holding faculty appointments, 200 librarians, and 6,000 staff members across three distinctive campuses and at many partner sites, including world-renowned hospitals.
University of Toronto
 


H. Kim Bottomly, President of Wellesley College, explains the importance of educating young women from Africa and welcoming them into the institution’s robust alumni network.
 
Last edited by a moderator:
joe, hili ni tatizo dogo sana endapo una sifa zinazihitajika. Just imagine, an ivy league university, hauombwi hata senti 5 ya mkoloni kuanzia kwenye application mpaka graduation. Muhimu kwao ni kwamba lazima urudi kwenu kusaidia jamii yako. Sidhani kama that is too much to ask!

mkuu mbona unasema ni free wakati naona kuna kulipia dola 100 ndugu yangu?

Hapo vipi mr m_kishuri?
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbona unasema ni free wakati naona kuna kulipia dola 100 ndugu yangu?

Hapo vipi mr m_kishuri?

Excel, kwa taarifa nilizonazo kila kitu ni free. Endapo unakwamishwa na hili suala, Tafadhali Wasiliana na Admission Office na watarekebisha hilo jambo. Jamaa wamenihakikishia kwamba kila kitu ni bure.
 
Last edited by a moderator:
Excel, kwa taarifa nilizonazo kila kitu ni free. Endapo unakwamishwa na hili suala, Tafadhali Wasiliana na Admission Office na watarekebisha hilo jambo. Jamaa wamenihakikishia kwamba kila kitu ni bure.

ahsante mkuu.. ngoja niendelee kujaribu kweka yangu..
 
Usisahau kwamba kuna zaidi ya university 10 ambazo zimo kwenye hii Program. Nimeweka link hapo juu.

sawa mkuu, ila naomba nikuulize, kwa mfano ukipata nafasi, gharama zote za kutoka hapa mpaka huko, zinakuwa juu ya nani?

vipi kuhusu hawa british council, wenyewe scholarship zao zikoje?

niliapply kwao lakini kila nikiweka phone namba wanaandika not valid! while it is my real mobile number!
 
Back
Top Bottom