Scholarships Mexico

Scholarships Mexico

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
4,156
Reaction score
1,862
Serikali ya mexico imetoa scholarships. Gonga hapa

Sasa wakuu, ningeomba kwa wale walio na uzoefu na Mexico wamwage hapa ili tusije kuingia choo cha kikeni.

Shukurani.
 
hamna cha msingi ka utaimudu biashara ya kusafirisha unga pindi uendapo au urudipo nyumbani tz safi hakuna uzoefu zaidi ya huo.
 
hamna cha msingi ka utaimudu biashara ya kusafirisha unga pindi uendapo au urudipo nyumbani tz safi hakuna uzoefu zaidi ya huo.
Mkuu unaweza kumwaga data zaidi. Unajua ni vizuri tukasaidiana hapa mkuu, kama hatuwezi kupeana dili na hela ni bora basi tukapeana hata taarifa za msingi ambazo zinaweza kutusaidia wote.
 
unamaanisha nini ukisema kuingia choo cha kike?
Mkuu Zanta huo ni msemo wa kawaida tu kwa siku hizi ambao unamaanisha ni kukosea sana ambako hakutarajiwi katika hali ya kawaida. Tupe mauzoefu yako sasa.
 
Back
Top Bottom