Mkuu unaweza kumwaga data zaidi. Unajua ni vizuri tukasaidiana hapa mkuu, kama hatuwezi kupeana dili na hela ni bora basi tukapeana hata taarifa za msingi ambazo zinaweza kutusaidia wote.hamna cha msingi ka utaimudu biashara ya kusafirisha unga pindi uendapo au urudipo nyumbani tz safi hakuna uzoefu zaidi ya huo.
Mkuu Zanta huo ni msemo wa kawaida tu kwa siku hizi ambao unamaanisha ni kukosea sana ambako hakutarajiwi katika hali ya kawaida. Tupe mauzoefu yako sasa.unamaanisha nini ukisema kuingia choo cha kike?