Scholarships za Master's katika Chemistry

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
600
Reaction score
510
Habarin Wana JF,

Mimi ni mwanafunzi wa bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ndoto zangu ni kuendelea na masters baada ya kuhitimu kuhusu GPA nina 4.1 first year naimani itarange humo Hadi 3.8 minimum (final year).

Hivyo ningependa kujua km kuna scholarship na namn ya kupata ktk moja ya izi (msc in microbiology, biochemistry, organic chemistry, analytical chemistry and physical chemistry).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…