Miongoni mwa selection ambazo unaweza kufanya unapofanya application tcu ni hzi scholarship, sas kw yeyot mwenye kujua naomba anipe maelezo kuhusu scholarship hizi na pia nahtaji kujua ubora wa elimu wanayotoa kulinganisha na ya hapa nchini kwetu.
Mchna mwema