Hivi wanaJF wenzangu naomba mnijuze zaidi kuna baadhi ya balozi kama ubelgiji,uholanzi nk kwa hapa Tz nasikia zinasaidia kusomesha graduates, naomba kujua huwa muda wa maombi unakuwa lini na wanataka uwe na sifa zipi,ntashukuru kwa mawazo mtakayonipa,asanteni