Kwa hiki ulichosema, mbona kama Ronaldo n bora kuliko Messi mana Ronaldo anapambana tofauti na Messi anayesubir kuletewa tuu.Mesi ni mchezaji mzuri ktk mfumo aliouzoea. Pia ana pata mapenzi yote kutoka ktk nchi yake na wachezaji wenzake. Hakimbii mpka awe na mpira. Hapo ndo amemzidi Ronaldo. Ronaldo anatamani kufanya vitu vingi kwa pamoja anatamani kukaba hamasa, kucheza na jukwaa, mitandao, na hapo hapo anakimbiza rekodi zake binafsi.
Uko sahihi. Ronaldo Yuko ktk presha kubwa kuliko Messi. Yeye Ronaldo ana dili sana mitandao na jukwaa hapo ndiyo anapitaka kuongezea presha yake. Messi is on the game. He plays without too much presha kama ya Ronaldo. Ego ya Ronaldo ni kubwa it cost him big time kubaki pale pale ktk mstari alioutengeneza. Messi yeye hata ligi aliyoenda ni nyepesi ili acheze kwa raha akivunja rekodi zake peke yake. Huku CR7 anapambana na anacheza mpiravwa nguvu sana. He has proved to fit in 7 premier leagues maana yake ni mzuri.Kwa hiki ulichosema, mbona kama Ronaldo n bora kuliko Messi mana Ronaldo anapambana tofauti na Messi anayesubir kuletewa tuu.
Au mm sijaelewa ulichoandika?
Wafia Messi hawawezi kukuelewa 😂Uko sahihi. Ronaldo Yuko ktk presha kubwa kuliko Messi. Yeye Ronaldo ana dili sana mitandao na jukwaa hapo ndiyo anapitaka kuongezea presha yake. Messi is on the game. He plays without too much presha kama ya Ronaldo. Ego ya Ronaldo ni kubwa it cost him big time kubaki pale pale ktk mstari alioutengeneza. Messi yeye hata ligi aliyoenda ni nyepesi ili acheze kwa raha akivunja rekodi zake peke yake. Huku CR7 anapambana na anacheza mpiravwa nguvu sana. He has proved to fit in 7 premier leagues maana yake ni mzuri.
Mechi iliyopita amefanya makosa kweli lakini si mengi ya ku score kama watu wanavyotuaminisha humu. Natamani mechi ijayo aanzie benchi ili Martenez afanya anayoyafanya kikosini koz kila mtu anamlaulu Ronaldo wakati kocha hakuwa na approach nzuri ya gam ya Kongo. Ile Kongo ilicheza vizuri.
Siyo kunielewa Mimi hawaelewi football. Kama jamaa wa Canada asingefunga 3. Hadi leo hii inshu ingekuwa hattrik ya Messi. Wanasahau kufunga zaidi ya goli mbili ktk mshindano makubwa kama haya siyo ujanja wa straiker mara nyingi mfumo ndo unafunga. Ukitaka kuamini angalia ujerumani jana. Mfumo ndo umefunga magolinyite mawili. Maana kama ni uzoefu walionza ni wazoefu zaidi lakini mfumo hauku wabeba.Wafia Messi hawawezi kukuelewa 😂
Kwa sasa ni mdogo kwa ronaldoKwani umri wenyewe si ndio huu aliokuwa nao sasa?
Lakini umri ni ule ule tu.Kwa sasa ni mdogo kwa ronaldo
🤝Siyo kunielewa Mimi hawaelewi football. Kama jamaa wa Canada asingefunga 3. Hadi leo hii inshu ingekuwa hattrik ya Messi. Wanasahau kufunga zaidi ya goli mbili ktk mshindano makubwa kama haya siyo ujanja wa straiker mara nyingi mfumo ndo unafunga. Ukitaka kuamini angalia ujerumani jana. Mfumo ndo umefunga magolinyite mawili. Maana kama ni uzoefu walionza ni wazoefu zaidi lakini mfumo hauku wabeba.
Ni kama kipindi kile fesalinanafunga goli Tano huwezi kusema fesalinninmfungaji mzuri. No mfumo wao dhidi ya mfumo wa watu Saba ndo umeibeba Azam. Lakini fesali siyo mfungaji mzuri hivyo. Sasa kama ni kocha huwezi kumsifia Fesali kuwa mfungaji mzuri. The same to Ronaldo na Messi mifumo ya timu inawabeba na kuwaangusha sometimes. Kuna gemu itachezwa na Messi ataanzia sabu au ataenda sabu.
Kwa hiyo hiki nacho cha kujivunia?Kinachowafariji mashabiki wake ni kuwa jamaa bado anaongoza kwa kuwa na followers wengi Instagram akiongoza kwa 667m followers na pia ndiye mchezaji tajiri kuliko wote.
CR7 anatupiwa sana mawe, 'Critics' Kila kona.Hahaha, hoja hapa ni kutokumlisha gwiji maneno. Sidhani kama alimaanisha Ronaldo apangwe nafasi ya goal keeper, alichomaanisha ni Ronaldo hapaswi kuanza sababu ya umri wake.
Roho ya upambanaji hiyo...Sema Ronaldo naye ni mbishi sana
TrueCR7 anatupiwa sana mawe, 'Critics' Kila kona.
Vyovyote iwavyo bado CR7 atabaki kwenye rekodi kama mmoja wa wachezaji Bora kuwahi kucheza soccer..
Sio kweli 😄😄Hakuna cha ajabu hapo jata huyo mesi akifika umri wa ronaldo hataweza kucheza
Ronaldo alikuwa mchezaji tegemeo, alitegemewa na kila timu alizochezea achilia mbali timu ya taifa, lakini kwa sasa anatakiwa akubali ukweli kwamb umri umemtupa mkono.Mkuu mimi ni team Messi ila napata ukakasi kidogo kusema Ronaldo ni mchezaji wa kawaida labda niseme tu hajafika level ya Messi na ameisha kwa sasa.
Awe anamuingiza dakika ya 80+.Ronaldo alikuwa mchezaji tegemeo, alitegemewa na kila timu alizochezea achilia mbali timu ya taifa, lakini kwa sasa anatakiwa akubali ukweli kwamb umri umemtupa mkono.
Ili kulinda heshima yake amshukuru kocha kwa kumjumuisha lakini pia amwache kocha apange timu yake ya ushindi kwa uhuru, bila shinikizo la Ronaldo na mashbiki wake
Hakika tunasubiria.Ajabu hapa ni Argentina kuishia njiani na Portugal kufika mbali.
Tupo hapa sote tutashuhudia.
Hakika mkuu Ronaldo ni noma.CR7 anatupiwa sana mawe, 'Critics' Kila kona.
Vyovyote iwavyo bado CR7 atabaki kwenye rekodi kama mmoja wa wachezaji Bora kuwahi kucheza soccer..
Ndio fatilia namba za ronaldo kwenye umri huoSio kweli 😄😄
Ronaldo wa miaka 38 alikuwa na performance kama Aliyonayo Messi ktk umri kama huo !?
Hapana wametofautiana fatilia kama hujuiLakini umri ni ule ule tu.