Paspii0
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 346
- 522
Kama mzazi au mlezi, mara nyingi unakutana na changamoto za kuamka mapema asubuhi ili kuwahi kuleta watoto shuleni kwa kutumia magari ya shule. Lakini, je, umewahi kujiuliza jinsi hali hii inavyowaathiri watoto wako kwa muda mrefu?
Kwa wengi wetu, usafiri wa magari ya shule ni suluhisho la haraka na la kisasa kwa watoto wanaohitaji kuwahi shule kwa wakati. Lakini, je, watoto wanapata nini kutoka kwa safari hii? Je, wanapata usingizi wa kutosha kabla ya kuanza siku zao?
Binafsi naona tunaandaa makondakta wa baadae kwa ujuzi na na nidhamu kali