Wako ndio wivu tunaongelea watotoUmeangalia hasi chache bila kutazama chanya nyingi...... Mbona walokole wanakesha na makelele tukiamka wankuja kusinzia kazini lakini hujasema......??? WIVU NA UMASIKINI.
We mzazi mwenyewe huwa unaamka saa ngapi?, kama mtoto anapitiwa saa 12 .30 asubuhi hadi saa 1 asubuhi sio mbaya, ila saa 11 hadi 12 asubuhi hiyo ni asubuhi sana...Kama mzazi au mlezi, mara nyingi unakutana na changamoto za kuamka mapema asubuhi ili kuwahi kuleta watoto shuleni kwa kutumia magari ya shule. Lakini, je, umewahi kujiuliza jinsi hali hii inavyowaathiri watoto wako kwa muda mrefu?
Kwa wengi wetu, usafiri wa magari ya shule ni suluhisho la haraka na la kisasa kwa watoto wanaohitaji kuwahi shule kwa wakati. Lakini, je, watoto wanapata nini kutoka kwa safari hii? Je, wanapata usingizi wa kutosha kabla ya kuanza siku zao?
Binafsi naona tunaandaa makondakta wa baadae kwa ujuzi na na nidhamu kali
Inaweza kuwepo karibu lakini haina ubora.Peleka mwanao shule ya karibu na makazi yako
Hama ukaishi karibu na shule.Inaweza kuwepo karibu lakini haina ubora.
Mimi n mkubwa najua na nastahimili hii mikiki ,hapa nazungumzia watoto tena under 5yrsWe mzazi mwenyewe huwa unaamka saa ngapi?, kama mtoto anapitiwa saa 12 .30 asubuhi hadi saa 1 asubuhi sio mbaya, ila saa 11 hadi 12 asubuhi hiyo ni asubuhi sana...
Hata mazoezi hawafanyi ndio maana wanatoka vitambi!Kama mzazi au mlezi, mara nyingi unakutana na changamoto za kuamka mapema asubuhi ili kuwahi kuleta watoto shuleni kwa kutumia magari ya shule. Lakini, je, umewahi kujiuliza jinsi hali hii inavyowaathiri watoto wako kwa muda mrefu?