KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,152
The color, fine, but not such ugly buses.
But why must they be yellow or have a uniform color? They shld just have their colors on the buses, that identifies with the school. It is an unnecessary requirement.
They sgould instead insist on the safety and efficiency of the buses.
Kwani lazima watu wafanye vitu vimefanana?watoto wako basi watasoma shule za kwako nyumbani kwako. ile kumuamsha mtoto asubuhi sana inamjenga pia ukubwani, ndio maana hadi leo kuna wanadamu saa kumi na moja na nusu asubuhi bado amelala, ni kutokana na mazoea mliyozoeshwa tangu utotoni. unapokuja kuamka saa kumi na mbili au saa moja asubuhi mwenzio ameshafanya kitu ambacho wewe haujafanya bado...na bado unaamini mtakuwa sawa kimaisha.
Sasa mlivyo kua mna mpakazia Mkikuyu akili timu kuwa ndiyo Sam mlikua mna maana gani
Just blame M.P.D., Multiple Personality Disorder. Wasn't me! πππHe is back after having a [emoji2] [emoji2] [emoji2] NASA president