kbmk
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 776
- 158
Elimusoft inakuletea OFA ya kufungia mwaka
Tunatoa huduma ya SCHOOL & COLLEGE MANAGEMENT SYSTEM free kwa mwaka 2022 shule na vyuo katika ngazi zote
Mfumo una features zaidi ya 40, baadhi yake ni kama
Tunatoa huduma ya SCHOOL & COLLEGE MANAGEMENT SYSTEM free kwa mwaka 2022 shule na vyuo katika ngazi zote
Mfumo una features zaidi ya 40, baadhi yake ni kama
- Kutoa GPA ya motokeo ya mtihani ya kila mwanafunzi
- Kutoa DIVISION ya matokeo ya mihani ya kila mwanafunzi kwa A LEVEL na O LEVEL
- Kutoa wastani na GRADE ya wastani aliopata mwanafunzi
- Mzazi anaweza kuangalia matokeo ya mtoto wake au watoto wake kupitia account ya MZAZI.
- Ina support watumiajia wa aina nane MWANAFUNZI, MZAZI, MHASIBU, LIBRARIAN, MWALIMU, ADMIN, SUPER ADMIN na RECEPTIONIST .
- Huonyesha status ya marks alizopata mwanafunzi katika kila somo kwamba amefeli au amefauli kulingana na minimum marks iliyo wekwa
- MWALIMU au ADIMIN ana weka marks, mfumo hufanya yote yaliyo bakia kama vile kutafuta GRADE, AVERAGE, GPA, DIVISION nk
- Mfumo una FEES MANAGEMENTSYSTEM
- Academic report management system
- Financial management system
- Library management system
- Hostel Management System
- Transport management system
- Event Calendar
- Online Chatting in the system
- Communication Channel
- AND SO MANY .......................