School Managment Spreadsheet application

School Managment Spreadsheet application

SAFCo_Academy

Member
Joined
Aug 24, 2020
Posts
15
Reaction score
6
School Results Management Spreadsheet Application!

Mkombozi wa Mashule mbalimbali Tanzania! Ni Spreadsheet (Excel) Application ambayo nimeiandaa kwa ajili ya kuchakata Matokeo ya wanafunzi (Kwa sasa ni kwa ajili ya Pre and Primary School) pamoja na Kutoka reports za wanafunzi za kutuma kwa wazazi automatically!

Naaimini ukiangalia hii video yote utaelewa vizuri na kurecommend kwa mashule mengi yaweze kuitumia. Kuipata Application hii kwa bei nafuu kabisa basi nipigie kwa namba hizi hapa.

0713388317.
0757749641.

 
Back
Top Bottom