Habari ndugu zangu,
Naomba kuuliza,
Hivi hapa Tanzania hakuna watu/taasisi zinazojihusisha au zinazosaidia kutafutia watu udhamini wa kimasomo au Scholarship hasa kwa vyuo vya nje ya nchihasa Ulaya na Asia then wakishafanikisha ukawalipa pesa?
Kama zipo hizo taasisi basi naomba mnisaidie contact zao ili zinisaidie tafadhari.
NB:- Najua kuna site nyingi zinazotangaza hizo scholarship ila si kila mtu anaweza kujaza hizo form za scholarship+ kuwa na muda wakufuatilia haya mambo.
Ahsanteni