Kulingana na "The Law School Act, 2007 of Tanzania" mtu yeyote aliyemaliza chuo baada ya mwaka 2007 anayetaka kuwa wakili na kufanya kazi za umma za sheria ni lazima aende shule ya sheria ya Tanzania ie Law School of Tanzania) baada ya kumaliza shahada ya sheria.
Siyo lazima kila mtu kwenda law school kwa sasa,eg,mahakimu wanaajiriwa hata bila kwenda law school.vilevile kuna legal officers,state attorney serikalini aambao wanafanya kazi za sheria hata bila ya kuwa na cheti cha law school