Schools were designed to produce good employees instead of employers

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Wana Jf ugonile.
Kwanza natanguliza shukrani zangu za dhati kwa walimu wangu walionifundisha kwa kufika hapa nilipo bila wao ingeniwia vigumu kufika hapa.Nawashukuru sana Allah awajalie
Niende kwenye maada;Kipindi tupo shuleni mara nyingi tuliwasikia walimu wetu wakituambia tusome kwa bidii ili tuweze kuwa Madaktari,Marubani,Mainginia,Wahandisi,Wanasheria n.k.Wanafunzi wanasoma kwa bidii ili waweze kuwa wajiriwa katika sekta hizo na zingine nyingi.Minds za wanafunzi zinakuwa zinapandikizwa mawazo ya kuajiriwa hivyo anakuwa anasoma kwa bidii ili aweze kuajiriwa.
"If you don't get good grades,you won't do well in the real world"Hizi ni baadhi ya kauli za walimu wetu.Lakini kauli hizi hazina ukweli wowote katika maisha kiuhalisia.
Ukija mitaani wengi ambao sio wasomi au hawajaajiriwa ndio wanamaisha mazuri kuliko wasomi na waajiriwa.Nimekuja kugunduwa kumbe ile elimu ya darasani ni tofauti kabisa na kilicho katika mazingira yetu.Nimekuja kugunduwa kumbe vitu vingi nilivyosoma haviwezekani kuvi applay in the real world. In the real world hakuna haja ya kukariri Archimedes principal, au a play log base 10.Huku kuna shida ya hela tu.
NOTE; In the real world it's not smarter who get ahead but bold.
 
Mkuu umeongea point San BT the issue ni WAP tupeleke aya mawazo yetu ili tuendelee mbele?
Ninachoamin MTU mpak kawez kufik chuo ata kwa kuiga BT yupo smart kwa bongo yake trust mi mkuu,,,
 
Hii ni kweli kabisa mkuu ila sio kwa shule tu hata vyuoni na haya wazungu ndio wanapotuacha hapa wenzetu wanawafundisha watoto wao wawe na free mind sisi tunamezeshwa
 
Mto mada upo Sawa,Ila nayo maneno umeyatafsiri toka Kwa mwandishi na Ujasiriamali nguli wa Kiamerika,aliyeandika kitabu cha Rich dad ..Poor dad!Na swala Hili ni univeral,halina cha mzungu wala Mjapani,wote Sawa.Shule zinaandaa watu kuajiliwa!
Hata Wahitimu wa Biashara (MBA) wanafundishwa kuplay safe,kuminimize Risk.
Shule halisi ya Biashara ipo mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…