Sciatica / sciatic nerve syndrome

Joined
May 15, 2019
Posts
69
Reaction score
23
JE UNAPATA DALILI HIZI

1.Maumivu makali eneo la kalio

2.Maumivu makali eneo la mgongo kushuka chini mpaka kwenye vidole vya mguu

3.Ganzi sehemu ya paja,miguuni, vidoleni

4.Baridi au miguu kuwaka moto au kusikia umeme/shoti ya umeme kupita nyuma ya paja mpaka miguuni

5. NA dalili hizo zinaongezeka unapo inama,kaa,kupanda ngazi na zinapungua unapo lala chali???? YAWEZEKAN KABISA UNA TATIZO LA SCIATICA/SCIATIC NERVE SYNDROME

ENDELEA KUFUTILIA PAGE @physioplus_dar
au piga/tsup 0718 22 48 40
kwa ushauri,uchunguzi na matibabu.
KESHO NITA UPLOAD VIDEO NIKIZUNGUMZIA TATIZO HILO. USIKOSE KUFUATILIA
 
matibabu yanaendana na chanzo cha tatizo.

vyanzo vipo vingi mfano
matatizo ya pingili za mgongo
matatizo ya ngonga
kukaza kwa misuli ya eneo la makalio/piliformis muscle
mshipa wa sciatic kupata maambukizi
na mengine mengi

hvyo ni vema kabla ya kuanza matibabu ukafanyiwa uchunguzi/physical examination na kujua chanzo

hapo ndo unaweza patiwa matibabu
Nna tatizo hili docta ni yapi matibabu yake?
 

Shukraan ntakutafuta docta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…