Jamani,masomo ya sayansi ni magumu ukilinganisha na ya arts,hebu linganisha physics na kiswahili au geography,vp kuhusu maths na history? Au chemistry na language?kwa asili yake tu masomo ya sayansi si marahisi yanahitaji commitment ya hali ya juu,sasa tatizo linakuja why should i take science and not arts subjects?mtu wa arts anasoma kwa raha na maisha yake yanakuwa bomba,maana atasoma let say course za administration kwa miaka mitatu na atakuwa bosi wa engineer aliyekomaa na pcm na 4 years kwa bsc.engineering,mwalimu wa sayansi kakomaa na pcb au pcm anakutana mwalimu mwingine staff moja kasoma hkl wanalipwa kipato sawa,huyu wa sayansi unakuta anafundisha vipindi 32 kwa wiki maana wapo wachache na masomo yana vipindi vingi,wakati huyu wa arts anakuwa na vipindi 4 kwa wiki maana wapo wengi na masomo ya arts mengi yana vipindi vichache tu,at the same time accademic wako na headmaster wako ni arts,so wanakupngia kazi,kwa hiyo nisome sayansi ili iwe nn?