Habari wana JF, naomba mnielimishe kulikoni forum ya scince & technology haifunguki au ni kwa computer yangu tu, au kumetokea nini? naomba mnijuze tafadhali.