Watu wako kimya na hili tangazo lako inawezekana hawajakuelewa kama mimi, kwamba unauza au unahitaji kununua calculator ya namna hiyo! Kwa kifupi tangazo lako ni tata!