Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
I have never believed the Big Bang theory as its contradictitself, haitaji kuwa kipanga as to understand that there was a creator far moreintelligent than akili na mawazo yote ya mwanadamu .. Yes, God (Jah/Yahweh) created the universe and allof us in His image! Achana na hizo blablaaaaa za Big Bang theory, kwanza ni mawazo ya kipagani tuu....
In the name of Science any one can say anything confusing enough and people can hail you as well. My Science tells me that a human being was once a pig.
Mkuu hapo juu umeanza Vizuri sana
Lkn hapo ktkt uliposema Wewe unafanana na Muumba Ndio Ulipoharibu kila kitu.
Yaani ni km umechanganya BIRIANI na Dagaa!
Lzm mtu ahare hapo!
Kama umesoma philosophy kwenye ile mada ya chanzo/causes of universe ndo utagundua dhahiri Mungu yupo....
Maana wengine wanasema maji...wengine moto but wote wanajicontradict Sana...
Ktk hali ya kawaida ulimwengu kuwa ktk well defined structure na in good order lazima upate sense kwamba kuna aliyeumba na kuweka hiyo order.
''God created man in His own image, in the image of God He created him; male and female He created them...'' (Genesis1:27)
In the beginning God created the heavens and the earth. 2 Now the earth was formless and empty, darkness was over the surface of the deep, and the Spirit of God was hovering over the waters.
3 And God said, "Let there be light," and there was light.4 God saw that the light was good, and he separated the light from the darkness.5 God calledthe light "day," and the darkness he called "night." And there was evening, and there was morning-the first day.
Hivi mbona haya uliyoandika hata hayahusiani na mada?!Bible was not even written by its original authors.That is why you see things such as "And Moses went up to the mountain...." instead of "And I [Moses] went up to the mountain....", or "And Jesus said to Matthew...." instead of "And Jesus said to me [Matthew]...." Most of the Books and Gospels of the Bible were written by third party people that were not even chosen by GOD, which makes the Bible just a cultural history book rather than a divine book from GOD Almighty.
Yanahusiana kufuatana na mazungumzo yanavyokwenda,sababu dhana mojawapo ya kuwepo dunia inatokana na maandiko,sasa hayahusiani kwa vipi?.Hivi mbona haya uliyoandika hata hayahusiani na mada?!
Sasa wewe unaanza kupinga Biblia, baada ya kuanza kuleta mbadala uumbaji ulikuwaje?!Yanahusiana kufuatana na mazungumzo yanavyokwenda,sababu dhana mojawapo ya kuwepo dunia inatokana na maandiko,sasa hayahusiani kwa vipi?.
tatizo we jamaa una imani kali na unaona kujadili kwa style hiyo kama dhambi ama kashifa fulani.wakati yanajadilika tu.
kitabu cha mwanzo yadaiwa kaandika moses,na kinaongelea uumbaji.
big bang ni moja tu ya theories kibao zna02elezea uundwaji wa dunian,kwan kusema big bang never happened ni kukataa idea nzma?kisayans hii hutoa mwanga kuleta theory ilyobora zaid,mtoa mada asichambua habari bali atafute vitabu na research papers za hao jamaa coz najua watakuwa wametoa alternative,alaf mjadala uendeleeSasa wewe unaanza kupinga Biblia, baada ya kuanza kuleta mbadala uumbaji ulikuwaje?!
Inaonekana una waaminia sana hao jamaa?! Na tayari ume kwisha i set akili yote wanayosema ni sawa...big bang ni moja tu ya theories kibao zna0‹2elezea uundwaji wa dunian,kwan kusema big bang never happened ni kukataa idea nzma?kisayans hii hutoa mwanga kuleta theory ilyobora zaid,mtoa mada asichambua habari bali atafute vitabu na research papers za hao jamaa coz najua watakuwa wametoa alternative,alaf mjadala uendelee
In the name of Science any one can say anything confusing enough and people can hail you as well. My Science tells me that a human being was once a pig.
What confuses me with the scientists...when exactly did the evolution stopped? Am really waiting for apes kingdom to turn into humans...
Mkuu ili kuokoa muda baada ya kuprove yoote haya tunapata concept kwamba hakuna kitu Kama bing bang na theory yenyewe ina kasoro na contradiction kibao....
Hapa ndipo unaweza kuja na conclusion kuwa ulimwengu umeumbwa na Mungu....
Mimi sijui asee,nilichokua namaanisha katika genesis.Sasa wewe unaanza kupinga Biblia, baada ya kuanza kuleta mbadala uumbaji ulikuwaje?!