Wambie mkuu ilikuwepo Black death, iliua watu wengi inakadiriwa iliua kati ya watu milion 75 mpaka 200Mkuu hizi assertion zako sidhani una any biological mechanism kuzi backup.
Kama unazo evidence nasio dhahania ndo uzilete mnakuza vitu tu
Milipuko imekuwepo kabla ya Yesu huu sio wa kwanza na hautakuwabwa mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unanipa link ambayo naanza tu kuisoma inaniambia
Mkuu scientists wamesema tuachane na 5G,vinginevyo tutakwisha. Wanasema electrification ya dunia is oalready too high: umeme kila mahali, radars kila mahali,TV waves,Radio waves,3G,4G na sasa 5G,it is simply too much,miili yetu wanasema haitaweza kustahimili,we will simply breakdown kama inavyotokea sasa Ulaya.Sasa tukianza kutumia 5G si ndo itakuwa balaa kama bado tunaisikia tu hali ndo hii.
Akili za msomi hohehahe!Mkuu hivi ni kweli hujui effect ya very high levels of Electromagnetic Radiation kwenye DNA?Anyway,ni hivii,5G produces very high levels of Electromagnetic Radiation.The effect of the very high levels of electromagnetic radiation from 5G is so intense that it separates the two DNA helixes.In short ni kwamba inasambaratisha DNA kabisa.Hii ina maana gani,ina maana kwamba the immune system is completely destroyed. 3G na 4G zina effects hizo hizo,but not so serious.Sasa hali hii inapotokea kwenye a very polluted industrial & chemtrail sprayed environment and where people are vaccinated with the influenza vaccine as is the case in most developed nations,the result is a very compromised immune system incapable of defending the body even against mild infections like COVID-19,and hence death.
Hii ni sayansi,na ndio ukweli mkuu,ukibishana nayo utakuwa utakuwa na matatizo.
Hata wewe unaweza kuyajua haya mkuu,ni swala la kupenda tu kujisomea.And then inaelekea hujui maana ya hohehahe.Maana yake hii hapa:i)watu ambao hawajapata kujifanyia kitu cho chote wao wenyewe .Akili za msomi hohehahe!
Mkuu hivi ni kweli hujui effect ya very high levels of Electromagnetic Radiation kwenye DNA?Anyway,ni hivii,5G produces very high levels of Electromagnetic Radiation.The effect of the very high levels of electromagnetic radiation from 5G is so intense that it separates the two DNA helixes.In short ni kwamba inasambaratisha DNA kabisa.Hii ina maana gani,ina maana kwamba the immune system is completely destroyed. 3G na 4G zina effects hizo hizo,but not so serious.Sasa hali hii inapotokea kwenye a very polluted industrial & chemtrail sprayed environment and where people are vaccinated with the influenza vaccine as is the case in most developed nations,the result is a very compromised immune system incapable of defending the body even against mild infections like COVID-19,and hence death.
Hii ni sayansi,na ndio ukweli mkuu,ukibishana nayo utakuwa utakuwa na matatizo.
Kwani watu wote wanaougua Malaria au Typhoid wanakufa,si wengine wanapona.Uwezo wa miili kustahimili mikiki inatofautiana sana Yoda,equally hata kwenye matatizo ya radiation by Electromagnetic waves.Acha kuwa na akili mfu,maeneo hayo hayo yenye 5G kuna watu wamegua COVID-19 na wamepona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona inatisha,?
Sasa hapa kwetu tuko kwenye 4 G ,hali imekuwa hivi ,watoto wanabakwa kila uchao,ushoga unaongezeka,
na miziki inapendwa zaidi kuliko ibada