Scientists create human sperm from stem cells

afkombo

Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
93
Reaction score
11
http://www.cctv.com/program/worldwidewatch/20090709/101274.shtml

Wenye Data zaidi tumwagieni jamani. Maana kama ni kweli,itakuwa kaaaazi kwelikweli!!!Maana tunaweza kuja kupata watu wenye majina kama "Michael Oxford","Kombo Newcastle",Hapendeki Stanford", Sitakiwi MUHAS, Mwanakombo Cardiff,Kindamba Harvard nk.Maana watakuwa wanapewa middle names kutokana na Chuo/Hosp zilipotengenezwa hizo sperms.Haya yangu macho.
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…