Scientists found drug that can wake up dormant HIV to be killed

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714



Wanasayansi wamegundua dawa yakutibu ulevi yaweza kutumika katika mkakati wa kuamsha virusi mfu vya VVU vilivyojificha na kuviua.

Dawa hiyo waliyoiita 'Antabuse' walipatiwa wagonjwa 30 wa UKIMWI Marekani na Australia ambao walikuwa tayari kwenye dozi ya kupunguza makali ya UKIMWI, kulionekana ushahidi kuwa virusi mfu vya VVU viliamshwa na kulikuwa hamna madhara kwa watumiaji.

Julian Elliot wa kitengo cha magonjwa ambukizi katika taasisi ya The Alfred huko Melbourne nchini Australia, alisema hatua ya kuviamsha vizuri mfu ni hatua ya kwanza kuelekea kwenye mchakato wa kumaliza nguvu ya virusi vya VVU.

Amesema kuwa hatua inayofuata ni kukiua kirusi.

Amesema kuwa pale kirusi kinapokuwa mfu ndani ya mwili kwa watu wanaotumia dawa ya kupunguza makali ya VVU ni moja ya kikwazo kikubwa cha kupata tiba ya kirusi kinachosababisha UKIMWI.

UKIMWI umeshaua watu takribani milioni 34 tangia mwaka 1980.

=======================
 

Attachments

  • Screen-Shot-2015-11-17-at-8.11.26-AM.jpg
    21.2 KB · Views: 2,732
Hamna kitu hapo,ukija kujua ukweli kuhusu HIV/AIDS utaelewa nina maana gani.Hakuna mtu hata mmoja duniani aliyekufa kwa HIV.Unachokiona au kukisikia kuhusu HIV/AIDS ni tofauti kabisa na uhalisia wa kile kinachotokea.

Nadharia ya HIV/AIDS ni kiini macho au mazingaombwe tu kama yalivyo mazingaombwe mengine.
 

Natamani nikuelewe zaidi mkuu
 
Nenda youtube mtafute Dr. Roberty Millner utaelewa poa kuhusu Hiv/Aids ilivo kiini macho
 
Kuna mzungu mmoja mashuhuri marekan leo kajitangaza kuwa yy ni +
 
Sasa wewe deception ndio unapotosha watu na ndio nyie mnasema america wametengeneza huu ugonjwa maabara eti kama silaha ya kibaolojia, sasa ukweli upo wazi kila siku tunaona ndugu jamaa na marafiki wanaambukizwa na kufa sasa wewe unaposema hatujui ukweli kuhusu ukimwi basi tuambie tuujue. Na hizo chuki zako dhidi ya america hazitusaidii, tupo hapa jamvini toa fact acha chuki za uongo na mmarekani hatishwi wala kubabaishwa na chuki zako za ajabu. Leta hoja. We unaleta siasa.
 
Kirusi kinachoitwa HIV hakipo duniani na wala hakuna kipimo chochote cha HIV ambacho ni sahihi. Uliona wapi kipimo kinaonesha una kinga ya mwili eti wewe ni mgonjwa.
 
Wewe bwana wee!. Virusi mfu ni vilivyokufa tayari na siyo dormant kama anavyosema mwenye makala. Tafsiri yako haiko sahihi.
 

Hujui hata jinsi ya kufanya mjadala.Maneno yako hayaoneshi ukomavu wa fikra na utayari wa kuelewa jambo jipya.Fahamu kwamba si kila elimu inaweza kueleweka kwa kila mtu,kuna elimu nyingine zinabagua,zinaeleweka kwa watu maalum waliojiandaa zaidi kubadilika kifikra/kimtazamo.

Huelewi hata kinachojadidiliwa,mimi ninazungumzia HIV lakini wewe unazungumzia UKIMWI,huoni kama kuna tofauti hapo?Halafu hujui hata huo UKIMWI ni nini,wewe umeona wapi mtu anakufa kama kinga yake iko chini/imepungua.

Sasa kwa kukusaidia:

1.Ukimwi hauui,bali kinachoua ni ugonjwa fulani kama vile malaria au TB unaoingia mwilini baada ya kinga ya mwili kushuka.Ukimwi si ugonjwa,bali ukimwi ni hali ya kinga ya mwili.

2.Ukimwi na VVU/HIV ni mambo mawili tofauti kabisa.VVU/HIV ni kiini macho,yaani hakuna HIV/VVU.Ukimwi upo kweli,na ulikuwapo tangu karne nyingi zilizopita lakini watu hawakujali kwa kuwa ukimwi huondoka wenyewe kama mtu atabadili style ya maisha,pia mara nyingi unaweza kuwa na upungufu wa kinga bila kujijua na upungufu huo hutoweka wenyewe bila kujijua pia.

3.UKIMWI hausababishwi na VVU/HIV.FULL STOP.

Kama kweli una nia ya kujua zaidi ya hapo nitajua tu.
 
Nenda youtube mtafute Dr. Roberty Millner utaelewa poa kuhusu Hiv/Aids ilivo kiini macho

Safi sana,ni dodoso zuri sana kwa watu kufuatilia wao wenyewe.Ni Dr.Robert Willner.Typing error kidogo.Ni vizuri ukaendelea na moyo huo wa kutoa mchango wako hapa ili kuwaokoa wengine na kasumba hii mbaya.
 

hahaaa umenichekesha sana tatizo lugha nn yaani unakubali kuna upunguvu wa kinga alafu unakataa hakuna ukimwi that non sense ukimwi ndio upungufu wa kinga h.i.v ni kirusu k inachoshambulia kinga na kupelrkea upunguvu
 

inawezekana yeye mwenzetu kasoma kuliko waasayansi wengine wakubwa wanakubaliana na HIV/AIDS
 
hahaaa umenichekesha sana tatizo lugha nn yaani unakubali kuna upunguvu wa kinga alafu unakataa hakuna ukimwi that non sense ukimwi ndio upungufu wa kinga h.i.v ni kirusu k inachoshambulia kinga na kupelrkea upunguvu

Ni shida kubwa sana kujadiliana na watu wasiojitambua,hujitambui kwamba wewe ndio mwenye tatizo la lugha.Sasa kama unachosema ni kweli,basi waoneshe watu ni wapi mimi nimesema hakuna ukimwi.

Aina hiyo ya mtazamo na mkurupuko mliyonayo ndio inayowafanya mbaki katika ujinga usiokwisha.Onesha wapi nimesema hakuna ukimwi.
 
inawezekana yeye mwenzetu kasoma kuliko waasayansi wengine wakubwa wanakubaliana na HIV/AIDS

Mbona huwazungumzii wanasayansi wakubwa na wanaofahamika katika ulimwengu wa sayansi ambao hawakubaliani na HIV/AIDS hypothesis kama vile Prof Peter Duesberg,Prof Kary Mullis,Dr.Robert Willner na wengine wengi tu?

Mbona humzungumzii yule mungu wenu wa HIV/AIDS(mgunduzi wa 'HIV') anayesema kwamba mtu anaweza kupona HIV/AIDS bila hata kula ARVs?Je,huyu mungu wenu pia amedanganya?Kama amedanganya sema ukweli ni nini na umeupata wapi.
 
Deception
Naomba niendelee kupata elimu kuhusu HIV na UKIMWI nahisi naanza kupata mwanga, maelezo yako baada ya ile mada yaliniingia nahisi sikuwa najuwa vizuri, tafadhali nipe elimu maana naanza kupata picha ya ukweli hivyo nataka kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…