Kwa sababu hesabu una red Flag, umeme utausikia kwenye matangazo tu. Labda u-resit upate angalau Danger itakusaidai kukamilisha ndoto yako. Vinginevyo soma ngwiniAmani
iwe nanyi ndugu zangu kwa heshima yangu kwenu naomba kuwasilisha
matokeo kidato cha nne fulani ili uweze kunijuza kama inawezakana kwa
matokeo hayo muhusika akapata chuo cha umeme popote Tz iwe dip au cert
ikiwezekana unijuze na upatikanaji wa ajira baada ya kumaliza mafunzo
hayo.Matokeo hayo nikama ifuatavyo:
physics C
chemistry D
biology C
mathematics F
Kiswahili C n.k
muhusika anapenda fani ya umeme kutoka moyoni kuliko fani yoyote
Duniani,ushauri wako tafadhali asante.
Mkuu, sikuhizi TANESCO inavyuo vyake?? Kwa ushauri huu sintoshangaa na mwingine kujitokeza akamshauri aende Chuo Cha Kaole Bagamoyo wananatoa Cert na Diploma ya Umeme.sometimes mm huwa naamini matokeo ya mtihani ni jinsi mtihan ulivyokujia siku hiyo. huyu kijana yuko poa kwenye ufundi umeme. nakushauri aanze dip ya umeme kwenye vyuo vya tanesco atamake tu. iyo F ya hesab isikutise sana sana.
Mkuu, sikuhizi TANESCO inavyuo vyake?? Kwa ushauri huu sintoshangaa na mwingine kujitokeza akamshauri aende Chuo Cha Kaole Bagamoyo wananatoa Cert na Diploma ya Umeme.
Za asubuhi, Umeamkaje mkuu?
sometimes
mm huwa naamini
matokeo ya mtihani ni jinsi mtihan ulivyokujia siku hiyo. huyu kijana
yuko poa kwenye ufundi umeme. nakushauri aanze dip ya umeme kwenye vyuo
vya tanesco atamake tu. iyo F ya hesab isikutise sana sana.
sometimes mm huwa naamini
matokeo ya mtihani ni jinsi mtihan ulivyokujia siku hiyo. huyu kijana
yuko poa kwenye ufundi umeme. nakushauri aanze dip ya umeme kwenye vyuo
vya tanesco atamake tu. iyo F ya hesab isikutise sana sana.
hata kama muhusika ni wewe ni poa tu......sasa ni hivi,kama jamaa anapenda umeme,mbona nafasi anayo!!! mi nashauri akasome apendacho na si kupelekeshwa na mafokeo eti kama nna c ya kiswahili nikasome law!! NO hatuendi ivyo!!! kuna vyuo vingi na nna uhakika atapata chance...jaribun st joseph pale mbezi naiman hawezi kosa!!! kufel maths hasa hii ya o-level isiwe mwisho wa malengo na kama ingekuwa hivyo sijui wengine tungekua wapi??!!!Amani
iwe nanyi ndugu zangu kwa heshima yangu kwenu naomba kuwasilisha
matokeo kidato cha nne fulani ili uweze kunijuza kama inawezakana kwa
matokeo hayo muhusika akapata chuo cha umeme popote Tz iwe dip au cert
ikiwezekana unijuze na upatikanaji wa ajira baada ya kumaliza mafunzo
hayo.Matokeo hayo nikama ifuatavyo:
physics C
chemistry D
biology C
mathematics F
Kiswahili C n.k
muhusika anapenda fani ya umeme kutoka moyoni kuliko fani yoyote
Duniani,ushauri wako tafadhali asante.
hata kama muhusika ni
wewe ni poa tu......sasa ni hivi,kama jamaa anapenda umeme,mbona nafasi
anayo!!! mi nashauri akasome apendacho na si kupelekeshwa na mafokeo eti
kama nna c ya kiswahili nikasome law!! NO hatuendi ivyo!!! kuna vyuo
vingi na nna uhakika atapata chance...jaribun st joseph pale mbezi
naiman hawezi kosa!!! kufel maths hasa hii ya o-level isiwe mwisho wa
malengo na kama ingekuwa hivyo sijui wengine tungekua wapi??!!!
ANGALIZO:
Kama akifanikiwa kupata,aondoe mawazo yakushindwa tena haswa maths,na
apende math na kuweka juhudi katika masomo....all the best....
Physics-C,
Math.-F,
Duh! Kuna vipaji duniani.
Math alifeli kwa bahati
mbaya au ni mmbovu kwa ujumla katika Math ? Kama Math hajiwezi naamini
hata Physcs ita mpa shida mbeleni. Na unapo zungumzi Elecrical,
unazungumzia Math na Physics kwa wingi, kama math ni tatizo kwake hili
litamtesa na hatimae anaweza asipate anacho kihitaji. Ajaribu kusoma
hata IT mkuu.
math yuko fit zaidi ya phyz.
KiTUKO HIKI DUNIANI PHYSICS C MATHS F, DAH KUNA MWALIMU PALE MCHIKICHINI ANAITWA MODYPHYSICS ALISEMA KWAMBA UNAPOJUA PHYSICS LAZMA UJUE MATH ILA UNAPOJUA MATH SIO LAZIMA UJUE NA PHYSICS , HA HA HA HA HA