Scolarships za China from Wizara ya Nishati na Madini

Scolarships za China from Wizara ya Nishati na Madini

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,089
Reaction score
424
Wajumbe nlikua naulizia kama kuna mtu yoyote aliomba Scholarship ya kwenda kusomea masters au PHD katika vyuo vya china kupitia wizara ya nishati na madini kwa tangazo lao walilolitoa mwezi April,kuna mtu yoyote aliapply na kua shortlisted?
Mana kila muda naambiwa bado china hawajatuma na muda mwngne naambiwa wamesema watatuma siku flani ila hadi leo naona kimya.Msaada wajumbe
 
Anayekwambia kuwa china hawajatuma ni wizaran kwenyewe ama? Condition zilikuwaje? Maana nying hutanabaisha kuwa shotlisted watakuwa contacted.....al in al u should have altenative mkuu...kip on fitin..dont lose hope
 
Back
Top Bottom