Wajumbe nlikua naulizia kama kuna mtu yoyote aliomba Scholarship ya kwenda kusomea masters au PHD katika vyuo vya china kupitia wizara ya nishati na madini kwa tangazo lao walilolitoa mwezi April,kuna mtu yoyote aliapply na kua shortlisted?
Mana kila muda naambiwa bado china hawajatuma na muda mwngne naambiwa wamesema watatuma siku flani ila hadi leo naona kimya.Msaada wajumbe