Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Rais mteule Donald Trump amemteua bilionea Scott Bessent kuwa waziri wa fedha katika serikali yake ijayo.
"Scott amekuwa mtetezi wa muda mrefu wa Ajenda ya Amerika Kwanza.
Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 250 ya Taifa letu Kuu, atanishirikisha kuleta enzi mpya ya Dhahabu kwa Marekani, tunapojidhatiti kama Uchumi unaoongoza Duniani, Kituo cha Ubunifu na Ujasiriamali, na Eneo la Uwekezaji, huku tukihakikisha bila shaka kwamba Dola ya Marekani inabaki kuwa Sarafu ya Akiba ya Dunia,” Trump alisema katika taarifa ya kutangaza uteuzi huo siku ya Ijumaa, akithibitisha ripoti ya awali ya CNN.
Bessent, mwenye umri wa miaka 62, alimshauri Trump kuhusu sera za kiuchumi wakati wa kampeni na ndiye mwanzilishi wa kampuni ya uwekezaji ya Key Square Capital Management.
Bessent akipitishwa na Seneti atakuwa ni Waziri wa kwanza wa fedha shoga kwa nchini Marekani
Kabla ya hapo, alikuwa afisa mkuu wa uwekezaji katika Soros Fund Management, mfuko wa uwekezaji ulioanzishwa na mfadhili mkubwa wa chama cha Democratic, George Soros.
Scott Bessent akiwa na mumewe John Freeman
www.them.us

Trump's Latest Pick for His Wildly Anti-LGBTQ+ Cabinet is a Gay Billionaire
In case you needed further proof that “representation” is not liberation.
Loading…
www.nytimes.com