Scott Besent, Waziri wa Fedha aliyeteuliwa na Donald Trump ni shoga

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Rais mteule Donald Trump amemteua bilionea Scott Bessent kuwa waziri wa fedha katika serikali yake ijayo.


"Scott amekuwa mtetezi wa muda mrefu wa Ajenda ya Amerika Kwanza.
Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 250 ya Taifa letu Kuu, atanishirikisha kuleta enzi mpya ya Dhahabu kwa Marekani, tunapojidhatiti kama Uchumi unaoongoza Duniani, Kituo cha Ubunifu na Ujasiriamali, na Eneo la Uwekezaji, huku tukihakikisha bila shaka kwamba Dola ya Marekani inabaki kuwa Sarafu ya Akiba ya Dunia,”
Trump alisema katika taarifa ya kutangaza uteuzi huo siku ya Ijumaa, akithibitisha ripoti ya awali ya CNN.

Bessent, mwenye umri wa miaka 62, alimshauri Trump kuhusu sera za kiuchumi wakati wa kampeni na ndiye mwanzilishi wa kampuni ya uwekezaji ya Key Square Capital Management.

Bessent akipitishwa na Seneti atakuwa ni Waziri wa kwanza wa fedha shoga kwa nchini Marekani

Kabla ya hapo, alikuwa afisa mkuu wa uwekezaji katika Soros Fund Management, mfuko wa uwekezaji ulioanzishwa na mfadhili mkubwa wa chama cha Democratic, George Soros.




Scott Bessent akiwa na mumewe John Freeman


 
Trump mbna anatuangusha tulimtumainia sana huyu alembi na mashoga

inavyoonesha sasa huyu anakuja kuivuruga DUNIA kirohombaya mana walivyotaraji wengi anaenda tofauti sasa
Wafuasi wake mmlisema sio mtu wa vita na fujo kama marais wengine wa States huyo sasa anatishia kuivamia Panama,Canada,Mexico,Greenland.

Mlisema hapendi wasenge huyo kachagua msenge wa kwanza
 
Haswaa mana Allah anaweza kushusha balaa likakukumba nawewe
 
Ni kwel ila ukiwa kwenye nchi za watu vunga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…