Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Rais mteule Donald Trump alitangaza Ijumaa kuwa amemchagua Scott Turner, mchezaji wa zamani wa soka la kulipwa, kuwa waziri wa Idara ya Makazi.
Turner mshauri wa rais Trump kuhusu namna atakavyowezesha Wamrekani wa kipato cha chini na cha kati kupata makazi na kusaidia Wamarekani kupata umiliki wa nyumba.
=============================================================
Baada ya kumaliza teuzi nyingi muhimu Rais mteule wa Marekani Trump hatimaye amemtua mweusi wa kwanza kuingia katika baraza la mwaziri katika nafasi hafifu ya wizara ya makazi. Hii nafasi hupenda kuwapa watu weusi sijui kwa nini, katika kipindi chake cha utawala kilichopita alimteua yule daktari na mwandishi maarufu wa kisabato Ben Carson, sasa hivi kamteua mchezaji wa zamani.