maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Sawia!scotie was a beast...and he had another character...he is cool...!
Bila kusahau vioja na ukaksi wa Denis Rodman.. Zile rebounds za kibabe.Enzi hizo kikapu kilikua kitamu. Kina Karl Malone, Tim Duncan, Vince Carter na Julius Erving. Hiyo ilikua balaa sana enzi hizo
Usimsahau john Stockton partner wa MaloneBulls vs uttah huku Jordan huku mtu mzima Karl malone... Unakumbuka hiyo shughuli... Siku zinasonga sana..
Ni mapacha wa kazi kabisa.. Na marafiki wakubwa... NBA all star... WanamuelewaUsimsahau john Stockton partner wa Malone