Scout wa Simba aangalie michuano ya AFCON tarehe 18 kupata wachezaji wa maana

Scout wa Simba aangalie michuano ya AFCON tarehe 18 kupata wachezaji wa maana

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Ushauri wangu ndio huo, michuano ya kufuzu AFCON inapigwa tarehe 17 na 18, huo ndio muda wa kwenda kusaka vipaji vya kuiletea mafanikio Simba msimu ujao.

Msije kusema sikuwaambia.
 
Back
Top Bottom