Scratch kwenye Wasafi Tv ni swaga au ubovu wa mitambo

Scratch kwenye Wasafi Tv ni swaga au ubovu wa mitambo

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Nimekua nafuatilia Wasafi Tv kunakuwepo na scratching kwenye picha kitu ambacho sio kizur kwa watazamaji.

Cha ajabu sioni kama jambo linalochukuliwa kwa uzito na Wasafi media. Mpaka najiuliza lile ni tatizo la kiufundi au swagga tuu?
 
Swaga tu...si unajua vijana wengi kama kina Mo town town sanya wanakwambia hivi ni kweli!
Ni kitu kimenifanya nipunguze kuangalia maana picha huzipati clear kama unavyotegemea.
Inakua kama ANALOG bhana
 
We ushaona TV inakatisha matangazo yake kisa wafanyakazi wanamfanyia surprise ya kumuandalia msosi Diamond(CEO) wao siku ya bday ofisi kwao?

Hio ndio Wasafi.
 
kwenye "live" ndo kabisaaaaaaa yani hovyooooooo
 
Hili jambo nikero yamuda mrefu sana..wanapenda kuwa live ila wanafeli
 
Hii issue nlifikiri naona peke yangu yan huwez kuangalia dakika 1 ikaisha bila kutokea scratch naonaga hata kero kuangalia hiyo channel
 
Wahusika sijui hawalioni hili au wameamua tuu bora liende
 
Back
Top Bottom