ππ ngoja nitume text zakoHili ni jambo gumu sana asee!
Only risk takers wanaweza fanya hii kitu
ππ ngoja nitume text zako
Mkuu hizo # mbona zinasomeka hapo juu!
Na wewe mdorishie kwangu....[emoji23][emoji23][emoji23]Acha kutudorishia .
Ngoja nimvutie kasi..[emoji12]Na wewe mdorishie kwangu....[emoji23][emoji23][emoji23]
basi kulwa ni katika harakati za kuonyesha jinsi gani undugu wetu ni wakushibana.Unataka tubadilishane majengo ya serikali eee??
Mi niende jela we uende mochwari ukaRIP?
Kama unaziona nitajie nimpigie sa hivi nimsemee mleta uzi anagawa namba huku JF