Screenshot apps zinazokusaidia katika uwekzaji na uchumi

Screenshot apps zinazokusaidia katika uwekzaji na uchumi

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
weka screenshots ya Apps ambazo zinakufanikishia kwenye uwekezaji...
Tujifunze kitu.
Kwangu mimi ni hizo...hapo Luna
1.UTT (Unit Trust of Tanzania)
2.NIC KIGANJANI (National Insurance Corporation)
3.DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)
4.NSE (Nairobi Security Exchange)
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-27_122053.jpg
    Screenshot_2024-02-27_122053.jpg
    288.3 KB · Views: 21
weka screenshots ya Apps ambazo zinakufanikishia kwenye uwekezaji...
Tujifunze kitu.
Kwangu mimi ni hizo...hapo Luna
1.UTT (Unit Trust of Tanzania)
2.NIC KIGANJANI (National Insurance Corporation)
3.DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)
4.NSE (Nairobi Security Exchange)
Upuuzi..weka screenshot ya Centro Bank ili uvune pesa! Afrika tumelogwa
 
Mbona watu wanachukia sana Forex? Ina nini? Au walishapigwa?
Kwenye FOREX...Inabidi uwe...
1. Smart kwenye kusoma graphs
2.Mjuzi wa foreign affairs, hasa western political and economic news
3.Utenge mda kutosha kwenye kusoma...

Sasa hivyo vitatu ni shida kwa Wabongo,mtu unakesha kwenye mpira,,,mtu haujui hata Cabinet ya UK ipoje, mtu hata uchumi wa Amerika haujui una function vipi halafu unaenda kushiriki FOREX....lazima upigike...
 
Hapo kweli shule inahitajika ni tofauti na kabisa na kubet ndio wazee wa kubet wapo nyomi 😁😁
 
Back
Top Bottom