greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Ukimaanisha...?Na wewe ni wale wa kudownload pesa?
Sijawahi kushiriki FOREX japo naielewa jinsi inavyofanya kazi....Eti forex
Upuuzi..weka screenshot ya Centro Bank ili uvune pesa! Afrika tumelogwaweka screenshots ya Apps ambazo zinakufanikishia kwenye uwekezaji...
Tujifunze kitu.
Kwangu mimi ni hizo...hapo Luna
1.UTT (Unit Trust of Tanzania)
2.NIC KIGANJANI (National Insurance Corporation)
3.DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)
4.NSE (Nairobi Security Exchange)
OkayUpuuzi..weka screenshot ya Centro Bank ili uvune pesa! Afrika tumelogwa
Ndio nini hiyo na inafanyeje kaziUpuuzi..weka screenshot ya Centro Bank ili uvune pesa! Afrika tumelogwa
Screenshot inakusaidiaje kiuchumi?Ndio nini hiyo na inafanyeje kazi
Lengo ni kuona app tofauti ambazo zina msaada kiuchumi....watu wanaweza kuuliza maswali....na kujifunza kitu....Screenshot inakusaidiaje kiuchumi?
Kwenye FOREX...Inabidi uwe...Mbona watu wanachukia sana Forex? Ina nini? Au walishapigwa?
Hapo kweli shule inahitajika ni tofauti na kabisa na kubet ndio wazee wa kubet wapo nyomi 😁😁Kwenye FOREX...Inabidi uwe...
1. Smart kwenye kusoma graphs
2.Mjuzi wa foreign affairs, hasa western political and economic news
3.Utenge mda kutosha kwenye kusoma...
Sasa hivyo vitatu ni shida kwa Wabongo,mtu unakesha kwenye mpira,,,mtu haujui hata Cabinet ya UK ipoje, mtu hata uchumi wa Amerika haujui una function vipi halafu unaenda kushiriki FOREX....lazima upigike...