Kuna jamaa alikula milioni 78 wakampa nusu nyingine wakambia watamlipa pole pole. Pia wakamuajiri. Nilishangaa sana. Mim ningewaambia kwa hela niliyokula sihitaji ajira nipeni hela yote mbele kwa mbele
Umenena Kweli Kabisa Halafu ni Karibu Kampuni zoteAfrika zinaiba.Wao ndio wanacontrol hizo zote kwa dashboard yao. Hao forensic wakipewa 5 milions una uhakika hawatageuka foreigns?
Duhh Hongera tuone screenshot MkuuPiga bet nao nimeanza kuwa na wac wac nao Sana wanatabia km hizi, ulizozitaja wanaendesha kimagumash Sana ,ninamkeka umewin yangu mchana 20M lkn team moja mpk muda huuhawasahishamkekauko pending