Nakumbuka those times nilikuwa std 5 nilikuwa sijui kiingereza vizuri mpaka nivizie gazeti la Kiu au Maisha ππππYah 1999 or 1998.
Hiki kinyimbo nacho miaka ya 2010 /2011 kilikuwa kinabamba hasa π
Hahaha kitamu Sana.Hiki kinyimbo nacho miaka ya 2010 /2011 kilikuwa kinabamba hasa π
Aaahh nawakumbuka sijui Ottu Jazz au Msondo ngoma haooo ππππHahaha kitamu Sana.
Mapenzi yamegawanyika sehemu tatu sijui hao Msondo /Ottu Jazz waliimba sehemu ya Kwanza ni Vifijo na vigelele sehemu ya pili mangumi na balaa zote na sehemu ya tatu talaka sasa huyu Keyshia Cole anatuambia Heaven Sent, yaani ni vurugu tu π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hahaha kitamu Sana.
Ni mshikemshike mwanzo mwishoMapenzi yamegawanyika sehemu tatu sijui hao Msondo /Ottu Jazz waliimba sehemu ya Kwanza ni Vifijo na vigelele sehemu ya pili mangumi na balaa zote na sehemu ya tatu talaka sasa huyu Keyshia Cole anatuambia Heaven Sent, yaani ni vurugu tu π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Naweza kupata wimbo wa Banana Zorro unaitwa NiaminiNi mshikemshike mwanzo mwisho
Nikajua utakuwa unausikiliza ile ngoma yako na Chris Brown Body to body π€£π€£π€£π€£Polo G _ my allView attachment 2981954
Hapana huu sinaNaweza kupata wimbo wa Banana Zorro unaitwa Niamini
Ngoma kali sana unajua lakini? πππHapana huu sina
ππ Breezy aliua sana mle chorus ilitulia. Acehood since starvation era mpaka sasa bado ni GOAT kwa upande wangu kwenye hip-hopNikajua utakuwa unausikiliza ile ngoma yako na Chris Brown Body to body π€£π€£π€£π€£
Alitisha sana Breezy aiseeππ Breezy aliua sana mle chorus ilitulia. Acehood since starvation era mpaka sasa bado ni GOAT kwa upande wangu kwenye hip-hop