View attachment 3018476
Mimi sio mwanaume wa panga...
Wala sio mwana ume wa shoka...
Ila nina roho mbaya mpaka wachawi wanaogopa...
Kwangu mke bora anapatikana kimboka...
Nishawahi fanya balaa mpaka shetani anaogopa...
Nishaua sana panya bila kutumia sumu...
Nishatumiaga beseni kubebea majukumu...
Mwenzenu kumpiga bosi kwangu sio kazi ngumu...
Mtoto wa miaka miwili namvutisha ndumu...
Yani naogopwa kama kelele za mwizi...
Ukipanga kuniloga jua unaloga chizi...
Kwenye bwawa la mamba mi napiga...
Mbizi na nikifa siachi pengo naacha fizi
Cc:
Mahondaw