MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
oyoooooo.. wewe na Poker mngeachwa kwenye moja na mbili ingekuwa hatariii sanaa ningewapa matoto mazuri yote ya bongo movie
Hi ngoma wakati imetoka miaka ya tisini nakumbuka nlikuwaga tabora boys alafu nimepigwa suspaa π
Umesoma Tabora Boys wewe jamaa ?Hi ngoma wakati imetoka miaka ya tisini nakumbuka nlikuwaga tabora boys alafu nimepigwa suspaa π
Ndio miaka hiyoo ukiwa bado hujazaliwa au tuseme kufikiriwa πUmesoma Tabora Boys wewe jamaa ?