SCRIBD: Anyone??

SCRIBD: Anyone??

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,215
Reaction score
3,076
Nways, sijui kama hii thread ipo mahali pake..

Nways, ishu ni hiviii, hawa jamaa wa scribd.com baada ya kuwa tumechangia documents zetu kwa muda sasa na kushare na wengine, sasa hivi naona wanaintroduce fee sijui nini..Ndio nimegundua leo, nilikuwa na search certain summary ya kitabu nikitaka kudownload naona naletewa window sijui nichague premium pass..this is bullsh!t

I regret kwanini nili-upload materials huku..hawa jamaa mabwege sana aisee.
 
Uliwasaidia kufanya utapeli (wa kukiuka hati milki).
Nao wamefanya utapeli, ila the other way around.
pole sana
 
Ulishawahi kutumia scribd au unapayuka tu?
Tuliza Munkari kaka. Huo ndio ukweli, ninaifahamu vema na nilijisajili. Ila tu sipendi kushusha vitu ambavyo ni Copyrighted na hicho ndio walichonikera. Matapeli wa SCRIBD

NOTE: Usinyofoe tu katumbo kangu, shime shime 🙂
 
Huu ndio upayukaji..SCRIBD ni platform ya kushare documents and terms of use zipo clear kuhusu copyrighted materials.
 
Mimi nili delete account yangu baada ya kuona hawana intuitive privacy options, kama wana privacy options at all. Unaweza kuacha online paper trail kirahisi sana nawengine hatutaki hilo.
 
Huu ndio upayukaji..SCRIBD ni platform ya kushare documents and terms of use zipo clear kuhusu copyrighted materials.
Nilikumbana na material kibao ambayo kwa hakika ni copyrighted...Basi tuseme poor policy enforcement
 
Mimi nili delete account yangu baada ya kuona hawana intuitive privacy options, kama wana privacy options at all. Unaweza kuacha online paper trail kirahisi sana nawengine hatutaki hilo.
Nimeona walivyolink na FB unaweza kumsearch mtu na kujua alichokuwa ana-scavenge kwene scribd, lakini sijui kama ni kitu +ve au -ve, kwa sababu kwa upande wangu niliwapa dummy FB profile. ANyone tracing anything would be wasting his breath.

Wanavyocharge hela wanaonesha walivyo na akili za kikoloni na kutajirika tu bila kujali nani anaumia in the process.
 
Back
Top Bottom