Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Ulishawahi kutumia scribd au unapayuka tu?Uliwasaidia kufanya utapeli (wa kukiuka hati milki).
Nao wamefanya utapeli, ila the other way around.
pole sana
Tuliza Munkari kaka. Huo ndio ukweli, ninaifahamu vema na nilijisajili. Ila tu sipendi kushusha vitu ambavyo ni Copyrighted na hicho ndio walichonikera. Matapeli wa SCRIBDUlishawahi kutumia scribd au unapayuka tu?
Tuliza Munkari kaka. Huo ndio ukweli, ninaifahamu vema na nilijisajili. Ila tu sipendi kushusha vitu ambavyo ni Copyrighted na hicho ndio walichonikera. Matapeli wa SCRIBD
NOTE: Usinyofoe tu katumbo kangu, shime shime 🙂
Nilikumbana na material kibao ambayo kwa hakika ni copyrighted...Basi tuseme poor policy enforcementHuu ndio upayukaji..SCRIBD ni platform ya kushare documents and terms of use zipo clear kuhusu copyrighted materials.
Nimeona walivyolink na FB unaweza kumsearch mtu na kujua alichokuwa ana-scavenge kwene scribd, lakini sijui kama ni kitu +ve au -ve, kwa sababu kwa upande wangu niliwapa dummy FB profile. ANyone tracing anything would be wasting his breath.Mimi nili delete account yangu baada ya kuona hawana intuitive privacy options, kama wana privacy options at all. Unaweza kuacha online paper trail kirahisi sana nawengine hatutaki hilo.